Translate

Tuesday, November 13, 2012

Sunday, November 11, 2012

MFANANO UPO?

Kilichopo kipo, Kisichokuwepo hakipo! Mfadhaiko kwa hilo vipi tena. Mshukuru MUNGU kwa YOTE.

Saturday, November 10, 2012

LEARNING

Long term living marks SENSE if run tight with competent learning about sequence and trends of life.

Friday, November 9, 2012

ULALE PEMA

Bwana alitoa, Bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe! Ailaze pema Roho ya Askofu A. Balina.

Thursday, November 8, 2012

The mirror in its deceitful character will only show you your profile features but not your emotional features! Call GOD for balance.

Wednesday, November 7, 2012

Ni sera au raslimali_mfumo kuwa na mporomoko wa maadili ya Ualimu? Cheki matumizi ya lugha na ...nk
Hawana la kufanya, wafanyalo hawalijui, wajualo kuperuzi nyendo za watu, wameshindwa kazi, kilichobaki ni UNAFIKI mtupu!

Tuesday, November 6, 2012

HAKUNA MKAMILIFU

Kuwa juu ghorofani ukiwatazama UTUPU waogao chini katika mabafu ya wazi si kuwa salama, kwani kuna MAKOMBEO yawezayo kukushusha!

Monday, November 5, 2012

SOMO GANI?

Leo ni uchaguzi nchini Marekani, WATZ tumejifunza nini kuhusu USTAARABU katika kampeni zetu?

Sunday, November 4, 2012

I dedicate this post to ALL students sitting for 2012 Form II National Exams. May God bless you and lead you to Success!

Tuesday, October 30, 2012

Is this Fair?

Being involved and drawing much interest on other people's private issues! How much time do you spend on this hopeless mania?

Sunday, October 28, 2012

WENGINE WAKOJE?

Wakoje hawa? Alichopangiwa hakifanyi, akifanya ni ovyoovyo tu, anachofanya ni kutresi mambo ya wengine na majungujungu! Na hututusimu ndio mahali pake!

Time to admit

It happens, at certain time when it's a right time to admit the situation as there desired!

Thursday, October 25, 2012

IDD MUBARAK

Happy Idd-el-Hajj to YOU worldwide, Be Blessed!

EWURA vs EURA

Energy and Water Utility Regulator Authority ipo, je Education Utility Regulator Authority aliyoahidi JK itaanza lini?

Wednesday, October 24, 2012

A PYRAMID

Economic, Social and Executive services mark our Matrix points of our Livelihood! Are these in a QUALITATIVE standard.?

Saturday, October 20, 2012

Dini Dini Hii!

Kuchezea amani kwa misingi ya kidini ni UPUUZI usiopimika, ni kuichoma moto nyumba ukiwa umejifungia ndani yake!

Friday, October 12, 2012

Tatizo ni Utawala Bora

Ni vigumu kwa kiongozi kusimamia na kudhibiti raslimali_watu aliyonayo ikiwa yeye si Mwadilifu.

Wednesday, October 10, 2012

UONGOZI WETU

Kiongozi mzuri ana uwezo wa kusimamia matumizi bora ya RASLIMALI-WATU aliyokabidhiwa! Je, linafanyika?

Tuesday, October 9, 2012

SENSE

Sense is sensed by inner morals, not by mere minds, in a complete practical exposure!

Monday, October 8, 2012

We are experiencing some cracks in our education policy simply because we have installed unqualitative, scam teachers in the teaching cadre.

Monday, September 24, 2012

UCHUNGU BANDIA

Wengi hutafuta UONGOZI na MAMLAKA kwa kuwa eti wana UCHUNGU na nininini, yote hayo ni FEKI, wana uchungu na MATUMBO yao!

Saturday, September 22, 2012

Nsolo Stephen: HIVI NDIVYO ILIVYO

Mtoto mtundu, mkorofi na mchokozi siku zote hutengeneza mazingira ya kulalamika kuwa anaonewa!

Nsolo Stephen: Education Hub

Nsolo Stephen: Education Hub: Our education scheme is probably swaying as a pendulum due frequent dramatical changes.

Nsolo Stephen: Education Hub

Nsolo Stephen: Education Hub: Our education scheme is probably swaying as a pendulum due frequent dramatical changes.

Thursday, September 20, 2012

Mambo ya Kuzingatia

Nsolo Stephen: Education Hub: Our education scheme is probably swaying as a pendulum due frequent dramatical changes.

Mambo ya Kuzingatia

Nsolo Stephen: Education Hub: Our education scheme is probably swaying as a pendulum due frequent dramatical changes.

Monday, September 10, 2012

Education Hub

Our education scheme is probably swaying as a pendulum due frequent dramatical changes.

Sunday, August 26, 2012

SENSA

Maandalizi yamekuwa ya ovyo, Wenyeviti wa Vitongoji hawakushirikishwa RASMI kuwaandaa WATU.

Thursday, August 23, 2012

Zoezi la NIDA kuegemea zoezi la SENSA ni kufanya mambo kwa kulipua tu!

NIONAVYO

Zoezi la NIDA kuegemea zoezi la SENSA ni kufanya mambo kwa kulipua tu!

Thursday, August 9, 2012

HAVIFANANI

Sheria na Haki havifanani, sheria KUTOA haki hata kwa Wasostahili, kwa kupindwa wenye haki WAMEIPOTEZA.