Translate

Saturday, November 23, 2013

HUU NI MSINGI

Siku zote jiamini mwenyewe kwanza kabla hujamwamini mtu mwingine.

Sunday, November 17, 2013

NOVEMBER 18

Mzambo ya kushangaza ni mengi, hata umaskini ulionao unaweza kukushangaza ukiutafakari.

Friday, November 15, 2013

Tabia- vazi la mtu humpambanua na wengine nae hulionea fahari!

Thursday, November 7, 2013

Free Online Image Editors: PicMagick Best Free Online Photo Editor

Free
Online Image Editors: PicMagick Best Free Online Photo
Editor
: PicMagick is Online Photo Editor that enables you to
make your ordinary photo looks wonderful within a few clicks. It does
not require you...

Tuesday, November 5, 2013

NOVEMBER 06

Hawa wadau wa Juu wa Elimu huwa hawawasiliani katika kuweka mipango-kazi?

Monday, November 4, 2013

Fanya yote ufanyayo lakini kumbuka kutazama kaburi kwani si hii leo unayoifahamu bali kuna kesho!

Wednesday, October 30, 2013

MAMBO ya KITOTO

Mtu mzima kutumia nguvu nyingi kufuatilia mambo yasiyo msingi ni upuuzi na Utoto!

Saturday, October 26, 2013

NDOA SI MTONDOO

Ole wenu mnaochezea ndoa zenu, zikitoboka ni majuto kwenu!

MCHEZAJI WA AKIBA

Kama thamani yako kimchezo ni ya KIWANGO kwa nini uvae jezi na uwe wa Akiba?

Monday, October 14, 2013

AFTER 14

After 14yrs without Nyerere, we run an astray dramatic scenary to Mwl's Dialects!

Tuesday, October 8, 2013

Anayekuhurumia kwa yanayokusibu na anakuomba Umpe ulaji akusimamie, huyo anakusaidia au wewe unamsaidia?

WAPI UMEGUSWA?

Leo, uliyosema umesema, uliyoona umeona, uliyosikia umesikia, uliyosoma umesoma, WAPI UMEGUSIKA pabaya?

Saturday, October 5, 2013

THIS IS HOW IT IS!

Everybody is mentally disordered, the only deference is the type and disorder percentage to uniqueness!

Friday, October 4, 2013

Thursday, October 3, 2013

OCTOBER 04, 2013

Wanafunzi.wa kidato II, kuaanza mtihani wao kitaifa Oct. 07 nawaombeni Tuwaombee SESSION njema, Mimi nimeanza!

T.2015???

Wenye uchungu na maslahi ya nchi, wanabuku ulaji kwa mgongo wa Wananchi maskini kwa kuwatoa kafara!

Monday, September 30, 2013

OCTOBER 01, 2013

Siku ya kwanza ya mwezi wa kumi, Nawatakieni kila la kheri katika shughuli zenu.Mungu awe nanyi.

Sunday, September 29, 2013

SEPTEMBER 30.9.2013

The 1st day of the week but the last one of the month, Happy month_end to YOU!

Friday, September 27, 2013

GRADUATION DAY

28.09.2013 is Kanawa Sec. 4M4students'graduation day. Florentina Nsolo is one them, Thanks to God!

Thursday, September 26, 2013

Tuesday, September 24, 2013

Sunday, September 22, 2013

MATOKEO_SOKA

Matokeo yamesoma: Man_C 4 vs Man_U 1, hapa kwetu ni Azam 3 vs Yanga 2! Poleni mlioumia.

Saturday, September 21, 2013

Friday, September 20, 2013

KINAELEWEKA

Sasa ni wazi kuwa kuna kutafuta mamlaka ya kuongoza nchi kwa nguvu na kwa gharama za machafuko!

Thursday, September 19, 2013

IJUMAA 20.09.2013

Siku njema kwa wapendwa wote. Kwa wenye B'Day leo, nawaombea kila la kheri na furaha!

Tuesday, September 17, 2013

BRN haitakiwi kusimama pekee kwa watumishi wa Elimu tu, Uzembe unaofanywa na idara wezeshi zinazomhudumia Mwalimu zisiachiwe kumkatisha tamaa Mwalimu, vinginevyo ualimu utakuwa ni kada kandamizi!

Thursday, July 18, 2013

NI WALENGWA

Wananchi wenye kipato cha chini waliokuwa walengwa wa mgawo wa vyakula kwa walengwa, wamepewa mgawo wa gharama za SIM Kadi

Monday, June 17, 2013

UROHO wa DOLA


Uroho wa kung'ang'ania Dola na Uroho wa kulazimisha kukamata Dola ndio unaoiangamiza Tanzania

Sunday, June 16, 2013

JUMATATU


kila la kheri kwenu mliojaliwa kuianza wiki, Mhimidini Bwana kila wakati. Siku njema.

Saturday, June 15, 2013

TANZANIA HII

Hali ya utulivu na amani ya Tanzania inatolewa kafara na wanasiasa kwa maslahi yao binafsi, kwa vigezo vya ukombozi!

Thursday, June 13, 2013

USHABIKI HUZAA UJINGA

Uhabiki usio na wa busara wala tija eti tu ni damdam huzaa ujinga na viitendo visivyo vya busara_zao.

Monday, June 3, 2013

HII LEO

Kila LEO hujivunia majirani wa karibu wawili, ambao ni JANA na KESHO, hushirikisha Jana na Kesho!

NASAHA ya LEO_Jun 03

Jiadilishe kwa dondoo kuhusu Uadilifu na/au Ubatilifu kutoka kitabu cha Mith. 23:21

Sunday, June 2, 2013

Saturday, June 1, 2013

NASAHA ya LEO_Jun 02


Jiadilishe kwa dondoo kuhusu Uadilifu na/au Ubatilifu kutoka kitabu cha Wagalatia 5:21
Jiiadilishe kwa dondoo kutoka kitabu Mith 3:5 na Yer.9:23

Friday, May 31, 2013

TUMEJIFUNZA NINI?

Matokeo kidato cha IV & VI yanatuachia funzo gani kuhusu mitihani ya TZ?

Thursday, May 30, 2013

NASAHA ya LEO_May 31


Jiadilishe kwa dondoo kuhusu Uadilifu na/au Ubatilifu kutoka kitabu cha Mith. 5:3-4,20

Nasaha ya Leo


Jiadilishe kwa dondoo kuhusu Uadilifu na/au Ubatilifu kutoka kitabu cha Mith. 10:22Jiadilishe kwa dondoo kuhusu Uadilifu na/au Ubatilifu kutoka kitabu cha Mith. 10:22

Nasaha ya Leo


Jiadilishe kwa dondoo kuhusu Uadilifu na/au Ubatilifu kutoka kitabu cha Mith. 10:22

HAO NAO!


Siyo kwenu tu, hata huku wapo, wanaishi Nawe kwa NYONGO na si kwa kiNYONGO! Wapo.

Wednesday, May 29, 2013

NASAHA ya LEO

Jiadilishe kwa dondoo kuhusu Uadilifu na/au Ubatilifu kutoka kitabu cha Mith. 30:20

Tuesday, May 28, 2013

KITOVU cha UJINGA

Kitovu cha ujinga ni kuamini na kujiamini kuwa wajua hata usichokijua!

Monday, May 27, 2013

Nasaha ya Leo


Jiadilishe kwa dondoo kuhusu Uadilifu na/au Ubatilifu kutoka kitabu cha Mith. 27:11

Friday, May 24, 2013

NASAHA ya LEO

Jiadilishe kwa dondoo kuhusu Uadilifu na/au Ubatilifu kutoka kitabu cha Mith. 7:18-19

Thursday, May 23, 2013

NASAHA ya LEO

Jiadilishe kwa dondoo kuhusu Uadilifu na/au Ubatilifu kutoka kitabu cha Mith. 26:11