Translate

Monday, June 17, 2013

UROHO wa DOLA


Uroho wa kung'ang'ania Dola na Uroho wa kulazimisha kukamata Dola ndio unaoiangamiza Tanzania

Sunday, June 16, 2013

JUMATATU


kila la kheri kwenu mliojaliwa kuianza wiki, Mhimidini Bwana kila wakati. Siku njema.

Saturday, June 15, 2013

TANZANIA HII

Hali ya utulivu na amani ya Tanzania inatolewa kafara na wanasiasa kwa maslahi yao binafsi, kwa vigezo vya ukombozi!

Thursday, June 13, 2013

USHABIKI HUZAA UJINGA

Uhabiki usio na wa busara wala tija eti tu ni damdam huzaa ujinga na viitendo visivyo vya busara_zao.

Monday, June 3, 2013

HII LEO

Kila LEO hujivunia majirani wa karibu wawili, ambao ni JANA na KESHO, hushirikisha Jana na Kesho!

NASAHA ya LEO_Jun 03

Jiadilishe kwa dondoo kuhusu Uadilifu na/au Ubatilifu kutoka kitabu cha Mith. 23:21

Sunday, June 2, 2013

Saturday, June 1, 2013

NASAHA ya LEO_Jun 02


Jiadilishe kwa dondoo kuhusu Uadilifu na/au Ubatilifu kutoka kitabu cha Wagalatia 5:21
Jiiadilishe kwa dondoo kutoka kitabu Mith 3:5 na Yer.9:23